Posts

Sport Shoe Tsh 15,000

Image
Nimevaa kiatu kutoka duka la Isack Pate, leo kimeenda mbali hadi kwenye TPDC Marathon! Ustahimilivu, ubora na mtindo wa hali ya juu – hiki ni kiatu kilichotembea kwa heshima. Isack Pate – Tunakutembeza katika ubora! Zipo pair zako pia, njoo dukani Chikongola – karibu na Mnara wa Voda, Mtwara. #IsackPate #MguuWakoHeshimaYako #TPDCMarathon #ViatuVyaUbora #ThriftShoes #MtwaraBusiness

Styles

Image
Unavaa nini mtaa ukikuita? Step out na hizi kicks kali kutoka Isack Pate! Style ni level, si bahati! Tsh. 25,000 /= Unavimba kitaa #KiatuChaMtaa #StepYaKibabe #IsackPate"

Sport Shoe, Runner

Image
Kiatu Runners , Kiatu cha kisasa kwa wanaopenda mitindo ya kisasa. Kinafaa kwa matembezi, mazoezi na kuvaa mtaani. Rangi nyeusi na kijivu. Saizi 42 hadi 44 zinapatikana. Bei: TZS 25,000 Nunua Sasa / Wasiliana WhatsApp

Brand: New Balance, Tsh: 10,000

Image

Sport Shoe, Brand: Camel, #40, Tsh 10,000

Image